Rap

Young Jezy

Disfruta de lo mejor de Young Jezy en GooMusica. Explora sus éxitos y descubre por qué es uno de los favoritos en el género Rap.

33

CANCIONES

0

VISITAS BIO

2026

FECHA ACTUALIZADA
Young Jezy
GOOMUSICA RAP YOUNG JEZY DONT DO IT LETRA
Artistas
Lista de Reproducción
1 canciones

Letra de Dont Do It

It's another one
Young Daresalama

Kuliko unipende, alafu kesho ukanichukia
Bora nikuwepo utakuwa umenisaidia
Najua mengi umeshasikia na uwongo pia
Ila sijali sasa hivi nachotaka ni kuskia

Ukisema hee he
Sema sema hee he
Sema hee sema hee
Let's go, twende, twende
Sema sema sema
Hee, hee, hee, hee

Siku nzuri asubuhi kumekucha
Ndo nakumbuka kwamba leo na-, kitanuka
Beiby nae kachacharuka
Kakuta text za madem wanataka kuinuka
Home kikanuka suu, nisisindwe ku solvu
Nikakumbuka tu kusema am sorry
Nikamvuta njoo, hapo nabukta soo
Kutoka nnje ka nimeshikwa ukooni

Hee he
Noma kweli hee he
Let's go, twende
Hee, hee, hee, hee
Hee, hee, hee, hee

Tumekaa siku ya pili baada ya moja mbili
Nikaona dalili tutaanza kimwili
Sikusubiri nikaona bora kujitenga
Uoga nao akili nikaona bora kujitenga
Mara hiki, mara kile, mara kiki, mara zile
Za kufanya mimi nisile
Niko hivi kisa ni wewee
Aah, sio kifo mpaka milele
Niko na wewe sio kifo mpaka milele

Kuliko unipende, after show ukanichukia
Bora nikuwepo utakuwa umenisaidia
Najua mengi umesikia na uwongo pia
Ila sai nachotaka ni kuskia ukisema

Ukisema hee he
Sema sema hee he
Sema hee sema hee
Let's go twende, twende
Sema sema sema
Hee, hee, hee, hee

Eeehh, sema sema
Noma kweli
Eeehh, sema, eeh
Let's go to the, twende
Hee hee, hee, hee

Tony Drizzy
Touchsound

Playlist Recomendados

PUBLICIDAD
Artistas por Orden Alfabético
Selecciona una canción
GooMusica
0:00
0:00

Lista de Reproducción

0 canciones